BREAKING NEWS

Download

Thursday, February 14, 2013

Viva Online music Management Presents New Music : Witness ft Ochu -ZAGA ZAGA (Exclusive download)

Huu ni wimbo mpya wa Msanii wa Kike anaefanya Hip Hop Witness Akimshirikisha OCHU SHEGY
.Ni wimbo wa aina yake .Baada ya kmya kidogo .Na Huuni wimbo wake wa kwanza tangu atoke katika ziara ya Hip Hop festival marekani ambayo hufanyika Brooklyn .Exclusively Inasambazwa na Viva Conscious Online Music management .Hii ni Track mpya ambayo inapatikana kwa Hizi Link
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes