BREAKING NEWS

Download

Wednesday, February 13, 2013

New Music :Tash , B Gway , Juru - Nyuma ya Lenzi (Producedby Rash Don)

Track: Nyuma Ya Lenzi
Artist :Tash,Juru n' B-Gway
Producer : Rash Don
Download Link..... DOWNLOAD HAPA LINK 1

                            DOWNLOAD HAPA LINK 2

Official Video: Nikki waPili ft Gnako - Bum Kubam


Ni DK 4 kati ya DK 55 za BUM KUBAM DVD inayoelezea maisha ya Nick wa pili na mzik anaoufanya. Kuna mengi zaid ya hii video yanayooneka kwenye BUM KUBAM DVD, kama bado hujapata copy yako, Mawasiliano 0655671550

WAKALA WAKUU:

ARUSHA: Wakala anapatikana SABENA opposite na daladala za njiro. au Mnara wa mwenge duka la kwanza la nguo( Kwa mchiz soo)

MOSHI; Stend ghorofa ya kwanza (TUMA TECHNOLOGY)

DAR: Kariakoo Aggrey/congo. Kijitonyama shule ya msingi baada ya Kituo cha bajaj(France corner), Born 2 shine Mwenge opposite na TRA, Sinza mori (PLAN B)opposite na kanisa la Worl alive.

New Music Grand Master Presents : Chalii mtoto wa Bibi ft Jordan :Kipendacho Roho (Official Audio)

New Music Kutoka kwa Nigga c Chalii mtoto wa Bibi Mmoja ya wasanii wanaounda Kundi la Jambo Squard  akiwa Na Jordan Kutoka GrandMaster Studios..Ngoma inaitwa KIPENDACHO ROHO ikiwa Produced na John B ..Pakua Hapa  
ARTIST : CHALII MTOTO WA BIBI
Featured Artist : JORDAN
TRACK SONG : KIPENDACHO ROHO
Produced by John B
GrandMastersStudios   
                DOWNLOAD HAPA LINK 1
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes