Here is Jared Evan's joint LP with producer Statik Selektah. The
collaborative effort features Joey Bada$$, Action Bronson, Hoodie Allen,
Termanology and more. Stream above, it hits iTunes today.
Wednesday, February 27, 2013
Download Free New Mixtape ya Soldier Boy- Foreign
Soulja Boy drops off some new material in mixtape form today. 24 new tracks for fans.
New Music : King Kapita ft Godzilla-KUNA Tatizo Kwani (Prod.Mesen Selekta)
HII NDIO NGOMA YENU MPYA KINGKAPITA FT GODZILLA UNAWEZA SIKILIZA NA KUTOA MAONI YENU NYIMBO INAITWA KUNA TATIZO KWANI???
IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
"KUNATATIZO KWANI"
HAPO NI KATIKA KUWAPA MOYO WOTE WALIOPATA MATATIZO KWENYE KUTAFUTA WAKA FAIL WASIKATE TAMAA NA MAISHA BADO YANAWEZEKANA PIA KUNA LINE KAMA
//MI MKRISTO WEWE MWISLAM HAIJALISHI DINI GANI TUDUMISHE HII AMANI//
"KUNATATIZO KWANI
KUSIKILIZA NA KU DOWNLOAD CLICK HII LINK
IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
"KUNATATIZO KWANI"
HAPO NI KATIKA KUWAPA MOYO WOTE WALIOPATA MATATIZO KWENYE KUTAFUTA WAKA FAIL WASIKATE TAMAA NA MAISHA BADO YANAWEZEKANA PIA KUNA LINE KAMA
//MI MKRISTO WEWE MWISLAM HAIJALISHI DINI GANI TUDUMISHE HII AMANI//
"KUNATATIZO KWANI
KUSIKILIZA NA KU DOWNLOAD CLICK HII LINK
New Music Video : Mabeste Ft. Deddy - Dole (Directed by Nisher)
A BRAND NEW MUSIC VIDEO FROM NISHER ENTERTAINMENT, ( DOLE- MABESTE FT. Deddy - Official Music Video ) SHOT IN Dar es Salaam TANZANIA....MUSIC produced By Pancho Latino & Hermy B - B'HITZ MUSIC GROUP - VIDEO Directed by NISHER
IF your interested IN full-hd Music VIDEOS / Films, CALL NISHER ENTERTAINMENT NOW ....+255 785 95 95 99
for more music videos check these links
www.nisherbaby.blogspot.com
www.facebook.com/nisherbaby
www.reverbnation.com/nisher
www.twitter.com/nisher_
www.youtube.com/nisherrr
ENJOY
Tuesday, February 19, 2013
New Music : Tannah wa Tanchy ft Dully Sykes -Falling
Viva Conscious Music Management Presents : Ngoma Mpya ya Tannah wa TacHY FT Dully Sykes -Falling Produced By Mesen Selekta ...Its DE FATALITY 2013 PROJECTS
COVER DESIGNED BY VIVA ART
New Music : Chibwa ft Juru -Nishai (Produced by Mesen Selekta)
DOWNLOAD HAPA LINK 1
DOWNLOAD HAPA LINK 2
Sunday, February 17, 2013
Viva Promo : Yb Masta ft Penta -Tidah Dideh (Prod. By Deno Music)
Ngoma Mpya Kutoka Kwa Yb Masta Stata member wa UB SOUND .Ngoma Inaitwa Tidah Dideh ambayo imefanywa Chini ya Producer Deno Manevia ...humu ndani ameshirikishwa Penta.
One (Incredible)- Got Em
FB: https://www.facebook.com/OneTheIncredible...
OGS Multimedia Studios: www.ossegrecasinare.com | facebook.com/OsseGrecaSinarePhotography
Thursday, February 14, 2013
Viva Online music Management Presents New Music : Witness ft Ochu -ZAGA ZAGA (Exclusive download)
Huu ni wimbo mpya wa Msanii wa Kike anaefanya Hip Hop Witness Akimshirikisha OCHU SHEGY
.Ni wimbo wa aina yake .Baada ya kmya kidogo .Na Huuni wimbo wake wa kwanza tangu atoke katika ziara ya Hip Hop festival marekani ambayo hufanyika Brooklyn .Exclusively Inasambazwa na Viva Conscious Online Music management .Hii ni Track mpya ambayo inapatikana kwa Hizi Link
.Ni wimbo wa aina yake .Baada ya kmya kidogo .Na Huuni wimbo wake wa kwanza tangu atoke katika ziara ya Hip Hop festival marekani ambayo hufanyika Brooklyn .Exclusively Inasambazwa na Viva Conscious Online Music management .Hii ni Track mpya ambayo inapatikana kwa Hizi Link
DOWNLOAD HAPA LINK 1
DOWNLOAD HAPA LINK 2
Wednesday, February 13, 2013
New Music :Tash , B Gway , Juru - Nyuma ya Lenzi (Producedby Rash Don)
Track: Nyuma Ya Lenzi
Artist :Tash,Juru n' B-Gway
Producer : Rash Don
Download Link..... DOWNLOAD HAPA LINK 1
DOWNLOAD HAPA LINK 2
Artist :Tash,Juru n' B-Gway
Producer : Rash Don
Download Link..... DOWNLOAD HAPA LINK 1
DOWNLOAD HAPA LINK 2
Official Video: Nikki waPili ft Gnako - Bum Kubam
Ni DK 4 kati ya DK 55 za BUM KUBAM DVD inayoelezea maisha ya Nick wa pili na mzik anaoufanya. Kuna mengi zaid ya hii video yanayooneka kwenye BUM KUBAM DVD, kama bado hujapata copy yako, Mawasiliano 0655671550
WAKALA WAKUU:
ARUSHA: Wakala anapatikana SABENA opposite na daladala za njiro. au Mnara wa mwenge duka la kwanza la nguo( Kwa mchiz soo)
MOSHI; Stend ghorofa ya kwanza (TUMA TECHNOLOGY)
DAR: Kariakoo Aggrey/congo. Kijitonyama shule ya msingi baada ya Kituo cha bajaj(France corner), Born 2 shine Mwenge opposite na TRA, Sinza mori (PLAN B)opposite na kanisa la Worl alive.
New Music Grand Master Presents : Chalii mtoto wa Bibi ft Jordan :Kipendacho Roho (Official Audio)
New Music Kutoka kwa Nigga c Chalii mtoto wa Bibi Mmoja ya wasanii wanaounda Kundi la Jambo Squard akiwa Na Jordan Kutoka GrandMaster Studios..Ngoma inaitwa KIPENDACHO ROHO ikiwa Produced na John B ..Pakua Hapa
ARTIST : CHALII MTOTO WA BIBI
Featured Artist : JORDAN
TRACK SONG : KIPENDACHO ROHO
Produced by John B
GrandMastersStudios
DOWNLOAD HAPA LINK 1
ARTIST : CHALII MTOTO WA BIBI
Featured Artist : JORDAN
TRACK SONG : KIPENDACHO ROHO
Produced by John B
GrandMastersStudios
DOWNLOAD HAPA LINK 1
DOWNLOAD LINK 2
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)