Monday, November 5, 2012
BIG UP SANA KING CRAZY GK FROM EAST COAST KWA KUMALIZA CHUO NA KUTUNUKIWA SHAHADA YA KWANZA ...
Aliyekua Rapper Maarufu Crazy G.K aKIWA nA Rafiki zake wa Karibu waliokua rapper wenzake katika Kundi la EAST COAST TEAM ...Ambwene Yesaya ..A.Y na Hamiss Mwinjuma ..mWANA fA..Alipokua akihitimu Shahada yake ya kwanza Katika FAani ya Mawasiliano ama MASS COMMUNICATION Katika CHuo chA Tumaini Jijini Dar-es-salaam
..Sasa Atumie Ujuzi Huo Katika Kuendeleza nchi
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)