Hii Ni Ngoma Mpya Ya Viva Conscious Mmoja Kati ya Member wa Zamani kutoka Ub Sounds Na Round Hii AKifanya Na Iluminatha Ambae Ndie Producer Pekee wa Kike East Africa Nae Pia Akikaa vyema katika Ubeti Wa Pili ...Imekua ni Ngoma Iliyofanywa Riddim kutoka katika Kionjo cha Nyimbo ya Nameless Nasinzia ..So Ni Nyimbo ya aina Yake ambayo ni Nzuri Kupita Katika Maskio Yoyote yale ya Kila Rika ...Na Imefanywa Katika Studio za Swahili Swagz
Artist: Viva Conscious
Featured Artist : Iluminatha
Track Name : Sugar Cane
Studios : Swahi8li Swaggz
Contact Of The ARTIST : +255713259377
Pia unaweza Ukaipata Nyimbo kuipita
www.facebook.com/josephviva
au www.twitter.com/vivaconscious
www.numberonemusic.com/vivaconscious
www.rapgenius.com/vivaconscious
Tuesday, September 18, 2012
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)