Hii ni ngoma mpya ya Nisher Beiby kutoka ARUSHA ,Tanzania ..Binafsi ni Bonge Moja la Ngoma ambayo imetayarishwa na yeye mwenyewe chini ya Nisher studios ...enjoy and comment
Jumapili Hii Pale Tarehe 9 mwezi Huu ,Pale Club Bilicanas kutoka Mtanashati Entertainment watakuwepo Dogo Janja, P.n.c, Amazon, Y FIL DAV, HAPPY BALICE Kiingilio Tsh 6000 Tu . Njoo wewe ,Huyu ,Yule na yule Wabebe wenzako show kali kwa Ajili Yenu ipo.