BREAKING NEWS

Download

Wednesday, September 5, 2012

Brand new Looking Ya Hip Hop artist Wawili Tz



Hii ni looking Mpya ya Wasanii wawili kutoka arusha Gentriez Mwakitabu na Chalii Mtoto wa Bibi ..wote wawili wakiwa wamenyoa low rasta ambazo zimekaa muda mrefu kichwani mwao cheki before na after ya looking yao

Nimempigia simu Gentriez Kuongelea hiii looking mpya je inahusiana na kuokoka?
Gentriez : hahahha No mzeee ,hii ni kama tuna change mwonekano wetu na kujiweka vizuri watu wametuzoea na Low Rasta sasa tumeona tuonekane goodboys tena
Vijana hawa wamekua wakiwa pamoja baada ya gentriez kumpa collabo Nigger c au chalii mtoto wa bbi katika ngoma yake mpya KILA SABABU ambayo imetengenezwa na
Darsh Pandit wanene entertainment
 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes