Wasanii Kutoka chini ya Ostaz Juma ya MTANASHATI Entertainment..ambayo inawajumuisha wasanii kama DOGO JANJA,P. N.C/Shino, AMAZON,HAPPY BALIS , Y FIL DAV .Jana Tarehe 30/8/2012 Walikua kati ya Kundi la kwanza Tz Kufanya Video Shooting coco beach kama Kuboresha Mahusiano kati yao na Kuboreshsa Label Name ya MTANASHATI ENTERTAINMENT ..
Friday, August 31, 2012
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)