BREAKING NEWS

Download

Friday, August 10, 2012

Leo Katika FidStyle Friday : Hitimisho Squad From Tabora

Stone Wa Kitaa Akivishwa Mic na Fid q Katika Moja ya Tukio la RAP

Na Hawa Ni Member wa Hitimisho Squard ..Gkifaaa na Stone wa Kitaa na WANA

Leo Usiku katika Kipindi cha FidStyle Friday kinachorushwa na East Africa Television EATV kuanzia Saa Tatu Usiku watakuwepo Hitimisho Squad Wazeee wa Tabora Town wakiongozwa Na G.KIFAA, Na Stone wa Kitaa ...Na Wana Wengine Na Pia Baada ya Kupita Kipindi Tuta iweka hio show humu tukipata toka kwa Youtube channel ya Fidstyle Friday..

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes