Hii Ni Ngoma Yake ya Kwanza ambayo ilitengenezwa chini ya Studio za Mesen Selekta De Fatality na Kufanya Vizuri katika Redio stesheni kadhaa nchini..Ngoma hiii inaitwa KINGDOM alimshirikisha Country Boy na Mesen Mwenyewe akiwa katika Bridges Stream na pia Download free
Simanzi ni Ngoma Yake ya Pili aliyofanya De Fatality kwa mesen selekta na alimshirikisha Msanii Ben Pol..Ngoma ina Mahadhi yote ya kuskilizwa na Rika zote ..Unaweza Kuskiliza na ku download hapa chini
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment