![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_aFFJryRteQf8QlZd-5TYI9X1euPHrW0FcgK4pldPoUqkoOazOkXoYpGO6T9Knkwq0cpBcG4qb_48U51LVZ4QzE_1z1-sHj65ZBI0fEsPlrnYzstxFPxFEWw7aAFlrCbWUpQURDbRTKc/s400/547845_386081384780510_726273545_n.jpg)
Tarehe 31 mwezi wa Nane mwaka huu .Kutakua na Uzinduzi wa Santuri ya Hip hop ya Mc .,One The Incredible .Mahali ni New Msasani Club ..Uzinduzi huu upo chini ya TAMADUNIMUZIKI Na Kutakuwepo na Hip Hop Artist wengine kama Nikki Mbishi, Stereo, Songa,P the Mc, Ghetto Ambasador ,Zaiid , Maalim Nash na WENGINE ..Njoo uskie Pure RAP Kicks toka kwa DUKE ,Mujwahuki na Texas ...USIKOSE
Post a Comment