BREAKING NEWS

Download

Thursday, July 5, 2012

Former Three Six Mafia Member Crunchy Black Shot

Rapper wa Zamani wa kundi la The Six Mafia anaejulikana kama Crunchy Black,Ameripotiwa KuLazwa Hospitali kutokana na Majeraha aliyoyapata kutokana na kupigwa Risasi na cha ajabu Maelezo hayakuwa PUBLIC kwamba Sababu gani iliyopelekea tukio hilo. Crunchy, Jina Halisi Darnell Carlton, Aliibukia katika Hip Hop industry Miaka ya 90 NA Mwanzoni mwa 2000 akiwa na kundi lake la Three Six Mafia, na Baadae mwaka 2006 kuliacha kundi hilo. MTV Wameweka wazi picha za Rapper huyo ammbaye ametazamiwa kurudi katika hali yake ya kawaida hivi Karibuni
PICHA KWA HISANI YA MTV BASE

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes