BREAKING NEWS

Download

Thursday, May 12, 2011

X-DIZOO AWAJIBU MEXICANA KWENYE 24BARS


Baada ya kundi la Mexicana LaCavela kuwachana wasanii wanaowakilisha kundi la Lunduno na kundi hilo kupiga kimya, ametokea msanii X-Dizoo anayetokea kwenye kundi la Makavu Live na kuwajibu Mexicana LaCavela katika 24Bars.
Sipendi kumaliza uwondo ila naomba usikilize mwenyewe wimbo huu wenye Bars 24 halafu unipe maoni yako je jamaa ameweza au...?

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes