![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgm65O94IyMQ0H6vFNqTrFw2nc6GkyquRRss2wCSQK3XFRLBoa6gOEdayb0SEffgAYhdtZaCkgy0suKzBa137hRMci-Jg8GWujWifOKMqS15YAw9INMwJ4X4K9NqqiZea6V9W622bvuWAI/s400/4670092704_7396c4de2a.jpg)
Birdman C.E.O wa Cash Money kajishindia milloni 30 za kibongo kutoka kwa Gucci mane.. Ni baada ya kuwekeana dau…. Hii ni mara ya pili kwa Birdman kushinda baada ya kula billion 6 kutoka kwa Maywheather…. Check na Teentz ili ujue hawa jamaa waliwekeana dau kwenye kitu gani na kama kweli Gucci mane alimlipa Birdmane huo mpunga…
Post a Comment