Sunday, September 5, 2010
Nikki wa pilli Na Mkoloni wala chakula chenye sumu Meeda
Posted by Viva Conscious on 4:16 AM in | Comments : 0
nimepokea sms kutoka kwa kaka wa msanii Nikki wa pili (Joe makini) kuwa nikki wa pili na Mkoloni wamelazwa hospitali na madokta wanasema kuwa wamekula chakula chenye sumu.Na vijana hao walikula msosi maeneo ya Meeda kwenye Hotel flaniiii.kwa habari zaidi sikiliza xxl clouds fm saa saba na nusu katika 255. GET WELL SOON BOROTHER.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment