
ebana mchizi bonta anatarajia kuachia mixtape yake ambayo itakuwa na nyimbo 16,atauza mwenyewe mkononi...Itaitwa 'VIVA CONCIOUZ' ndani amewashirikisha watu kama G-NAKO,NIKwa2,STOPER,JOHMAKIN,SHABANG,HUSSEIN MACHOZI,RAMADEE,CHINDO,DOGO RAMA na Q the don ebana eeeeeeeh ni rhymes time kaa chonjo River for lifeeeeeeeeeee
Post a Comment