BREAKING NEWS

Download

Monday, June 21, 2010

Africans Hiphop


Mimi kama mpenzi mkubwa wa Hip Hop, nimekuwa nikijaribu kuifuatilia kwa karibu tangia '2 Proud' alipokuwa anavuma na nyimbo kama 'Ni mimi, niko kwenye maikrofoni' na 'Madawa ya kulevya'. Safari ya Hip Hop Tanzania ni ndefu kiasi chake -- ila wengi mtakubaliana na mimi kuwa hatuna "kioo" (as in, standard) madhubuti cha kuangalia na kutath'mini mabadiliko yaliyoletwa na huu muziki wetu.

Mara nyingi mambo mengi tunayojadili kuhusu Hip Hop tunakuwa kama tuna speculate tu. Kwahiyo, tunayoongelea kwenye kijiwe hiki ni tofauti na yatakayoongelewa kwenye kijiwe kingine kutokana na sababu kadhaa

Share this:

Post a Comment

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes