BREAKING NEWS

Download

Wasiliana Nasi

 
Karibu kwenye Blogu maarufu Duniani Maalumu kwa Ajili Ya Burudani Hususani Muziki wa Hip Hop Na Kidogo Muziki wa Bongo Flava

.Blog Hii Inamilikiwa na JOSEPH STEPHEN MAHUMI .Moja kati ya Ma Blogger Maarufu sana AFRICA .Imeanza kufanya kazi Miaka Mitatu iliyopita.Ikiwa Ikifanya Vizuri na Kupata Mafanikio Mengi Ndani yake.Pamoja na Kutoa Mchango Katika Tasnia ya Muziki Wa Kizazi Kipya.

Blogu Hii Ina Viongozi Wawili.Ikifanya kazi na Assistant Manager NURUELY MOSHI

Mbali na Kufanya Matangazo kwa upande wa Muziki, Tuna shughulika na Ku design Mionekano ya Websites , Blogu ,Na Kadhalika

Kusimamia Mwanamuziki Kupitia Mitandao ya Kijamii ,

Kufungua na Kuendesha Blogu yeyote kwa Bei Rahisi

Kusimamia Promotion ya Matangazo Mitandaoni

Kusambaza Nyimbo Kupitia Mitandao ya Kijamii

 Haya Yote ni Kwa BEI Rahisi .

          

      TUWASILIANE KWA ANUANI ZIFUATAZO




 
ama Nambari za Simu +255713259377

 

4 comments :

 
Back To Top
Copyright © 2014 Kato Kumbi. Designed by OddThemes