Sunday, September 30, 2012
Msanii Kutoka Mtanashati Entertainment Alazwa Kufanyiwa Upasuaji wa Tumbo
Posted by Viva Conscious on 6:51 AM in | Comments : 0
Msanii Kutoka Mtanashati entertainment Happy Balice Alazwa Hospitali ya Nico iliyopo Mitaa ya Sinza,makaburini..kutokana na kusumbuliwa na uvimbe tumboni.Nimepata Taarifa kutoka kwa Bosi wa Kampuni hio Ustadhi Juma Kwamba gharama zote za Matibabu Zimeshughulikiwa na Mtanashati entertainment...Na Mpaka atakapo pona atashughulikiwa kwa gharama za Mtanashati ENtertainment..
Mungu akurudishe katika
hali ya kawaida .
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment