Wednesday, September 1, 2010
“DAR ES SALAAM STAND UP” YA CHIDI BENZ YAINGIA SOKONI
Posted by Viva Conscious on 12:00 PM in | Comments : 0
Rapper aliyewahi kuchukua Tuzo tano za msanii bora wa Hip hop katika Tanzania Music Awards, Chidi ameachia album yake mpya Dar es salaam Stand up. Album hiyo inangoma 16, amewashirikisha kundi lake la LA FAMILIA pamoja na Ray C, Banza Stone and Leah Muddy, Album inasambazwa na GMC Wasanii Promoters Ltd,
List ya ngoma hizo ni:
DSM STAND UP,
CHAGUO LANGU,
BEIBI SEMA,
MOLA,
NEVER BE THE SAME,
POM POM PISHA,
MOVIE STAR,
SO FRESH SO CLEAN,
MNYAKWIBATA,
MISELE,WATOTO WETU,
HELLO AND AFRICAN SOULJAH.
Uzinduzi bado haujapangwa utafanyika lini, kwa mujibu wa Chidi anasema bado kuna mambo anafuatilia na akikamilisha basi atatufahamisha.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment